Sare ya bao 1-1 waliyopata Simba dhidi ya Geita Gold leo imeirahisishia kazi Yanga kuelekea ubingwa wa 28 ligi kuu ya Tanzania Bara
Hesabu sasa ziko hivi; Yanga inahitaji alama nne kutoka mechi tano zilizobaki ili kutwaa ubingwa
Katika michezo mitano iliyobaki, Simba wakishinda yote wanaweza kufikisha alama 66, Yanga ikiwa tayari na alama 63
Wananchi wakipata ushindi katika mchezo dhidi ya Biashara United hapo kesho, watafikisha alama 66!
Jamanieeee tuanze kushona suti, shughuli imeisha hiii...!
ADVERTISE HERE