Kikosi cha Yanga kinaondoka Dar es salaam baadae leo kuelekea jijini Mwanza wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa Jumatatu, may 23 katika uwanja wa CCM Kirumba
Baada ya mchezo huo Wananchi wanatarajiwa kuendelea kubaki jijini Mwanza kusubiri mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba ambao utapigwa May 28


ADVERTISE HERE