Wengi wajitokeza kuiona Yanga mazoezini Iringa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2018
Wengi wajitokeza kuiona Yanga mazoezini Iringa
Kikosi cha Yanga kiko mkoani Iringa na leo Alhamisi kimejifua kwenye uwanja wa Chuo cha Mkwawa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Lipuli.

Idadi kubwa ya mashabiki wamejitokeza kushuhudia mazoezi ya mabingwa hao wa Kihistoria wa soka la Tanzania.

Bila shaka keshokutwa Jumamosi idadi kubwa ya mashabiki watafurika uwanja wa Samora kuipa sapoti Yanga itakapokuwa inaivaa Lipuli FC











ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’