Mtibwa, Singida United, Majimaji nazo zatinga 16 bora FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2018
Mtibwa, Singida United, Majimaji nazo zatinga 16 bora FA
Jana timu ya Mtibwa Sugar ilifanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Maji Maji Rangers Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.

Nayo Tanzania Prisons ikasonga mbele kwa ushindi wa penalti 5-4 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Burkina Faso FC Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya huku Maji Maji ya Songea ikishinda 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani.

Njombe Mji FC ikashinda kwa penalti 4-1 baada ya sare ya 2-2 na Rhino Rangers Uwanja wa Saba Saba, Njombe wakati Stand United ikaichapa Pamba FC 2-0 Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Kiluvya United ya kocha Yahya Issa ikaichapa 2-0 JKT Oljoro Uwanja wa Mabatini Mlandizi mkoani Pwani.

Singida United ikashinda kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 0-0 dhidi ya Green Warriors Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mechi kati ya KMC na Toto Africans imesogezwa mbele hadi Februari 7, mwaka huu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’