Mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Simba utapigwa May 28 katika uwanja wa CCM Kirumba
Kulingana na ratiba iliyotolewa na TFF mapema leo, mtanange huo utapigwa kuanzia saa tisa na nusu Alasiri
Mchezo wa pili wa nusu fainali kati ya Azam Fc dhidi ya Coastal Union utapigwa May 29 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha
Uwanja huo pia utatumika kwenye mchezo wa fainali utakaopigwa Julai 02

ADVERTISE HERE