Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Mbeya kuelekea mkoani Iringa tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Lipuli FC.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi, Februari 03 kwenye uwanja wa Samora, Iringa.
Yanga inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu ya Vodacom ikiwa imejikusanyia alama 28, alama mbili nyuma ya Azam FC ambayo iko nafasi ya pili na alama 30.
Pia iko alama saba nyuma ya vinara wa ligi Simba.
Ili kuendelea kuwa na matumaini ya kutetea ubingwa wake, Yanga inahitaji kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

ADVERTISE HERE