Beki wa Yanga Dickson Job amesema wametua Dodoma kwa kazi moja tu, kupambana na kuhakikisha wanarejesha furaha ya Wananchi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Jamhuri
Yanga ilitua Dodoma jana jioni kuelekea mchezo huo ambao utapigwa saa 10 badala ya saa 1 usiku kufuatia mabadiliko yaliyofanywa na Bodi ya ligi jana
Job amesema wako imara kuingia vitani kusaka matokeo muhimu
ADVERTISE HERE