Bodi ya Ligi imetangaza mabadiliko ya muda wa mchezo wa ligi kuu kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili May 15 katika uwanja wa Jamhuri
Mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa saa moja usiku, sasa utapigwa kuanzia saa 10 jioni
Taarifa iliyotolewa na TPLB imebainisha kuwa uwanja wa Jamhuri utakuwa na matumizi mengine Jumatatu, May 16, uwanja utaandaliwa usiku baada ya mchezo

ADVERTISE HERE