Kikosi cha Yanga kimetua salama mkoani Dodoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa Jumapili, May 15 katika uwanja wa Jamhuri
Vinara hao wa ligi kuu wametua Dodoma wakiwa na dhamira moja tu, kusaka ushindi muhimu ambao utawasogeza karibu na ubingwa msimu huu
ADVERTISE HERE