Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa
Wakati huu tunaizungumzia Yanga ambayo inakamilisha mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji
Senzo ni miongoni mwa wale ambao wataingia katika vitabu vya kumbukumbuku vya klabu ya Yanga baada ya kufanikisha mchakato huo
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY SENZO..
ADVERTISE HERE