Yanga imeanza mchakato wa kuwaongezea mikataba wachezaji ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu huu
Kibwana Shomari amekuwa mchezaji wa kwanza kusaini mkataba wa miaka miwili, zoezi hilo linaendelea
Imeelezwa Yanga tayari imekamilisha mazungumzo na nyota wote ambao Kocha Nasreddine Nabi amependekeza waongezwe mikataba
Nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto na Saido Ntibazonkiza ni miongoni mwa wachezaji wanaosubiri kusaini mikataba mipya

ADVERTISE HERE