Yanga yatajwa kumalizana na beki Mganda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 May 2022
Yanga yatajwa kumalizana na beki Mganda

Yanga inatajwa kumalizana na mlinzi wa kushoto wa Kimataifa wa Uganda, Mustafa Kiiza (22)

Kizza alikuwa akiitumikia Montreal (Ligi Kuu ya Marekani) kwa mkopo akitokea klabu ya KCCA

Yanga ambayo tayari imejihakikishia kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao, imepania kuimarisha kikosi ili kufanya vizuri katika michuano hiyo

Safu ya ulinzi upande wa kushoto ni miongoni mwa maeneo ambayo hakuna shaka yanahitaji maboresho

Kibwana Shomari amekuwa chaguo la kwanza katika nafasi hiyo licha ya kuwa hatumii mguu wa kushoto kwa asili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’