Mkataba wa udhamini wa kampuni ya Sportpesa kwa klabu ya Yanga unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu
Sportpesa imekuwa mdhamini mkuu wa klabu ya Yanga kwa miaka mitano, Yanga ikipokea takribani Tsh Bilioni 1 katika muda wote wa mkataba
Kuna taarifa kuwa tayari mazungumzo yameanza kati ya pande mbili juu ya kuhuisha mkataba huo
Lakini ni wazi Sportpesa watahitaji kuongeza 'mzigo' ili kuendelea kuwa mdhamini mkuu kwani wakati huu Yanga imepanda thamani mara dufu
ADVERTISE HERE