Leo tunahitaji furaha kutoka kwenu wachezaji - Manara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 May 2022
Leo tunahitaji furaha kutoka kwenu wachezaji - Manara

Msemaji wa Yanga Haji Manara amewataka wachezaji wa timu hiyo kuhakikisha wanawapa furaha mashabiki wao siku ya leo kwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa baadae leo kuanzia saa moja usiku

Manara amesema pamoja na kutambua ugumu wa mchezo huo, lakini leo wana kila sababu ya kushinda, wanacheza katika uwanja wa bora wakiwa mbele ya mashabiki wao

"Wananchi leo tunahitaji alama tatu tu, hakuna mjadala, tupo nyumbani katika Uwanja tuliouzoea na tukiwa kamili bila majeruhi"

"Wachezaji wetu tunawaamini na tunawajua uwezo wenu, ndio, Prisons ni timu imara lakini sis ni timu bora mno katika ligi kuu hii"

"Nendeni mkawape amani na furaha Wananchi, nendeni mkacheze soka lenu bila presha, tunahitaji matokeo sahihi jioni ya leo"

"Ubingwa wetu upo mwezi huu, uwezo huo mnao na tunajua mtashinda Insha'Allah," aliandika Manara kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’