Ni Jumatatu May 09 uwanja wa Benjamin Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 May 2022
Ni Jumatatu May 09 uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Tanzania Prisons utapigwa Jumatatu, May 09 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo huo utaunguruma kuanzia saa moja usiku

Baada ya kufanikiwa kuondoka na alama moja katika mchezo uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, mchezo dhidi ya Prisons ni kama fainali kwa Yanga kuhakikisha inaondoka na alama zote tatu

Yanga inaendelea na msako wa alama 15 ambazo zitawahakikishia kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu

Timu hizo zilipokutana kwenye mchezo wa duru ya kwanza kule Sumbawanga, Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, mabao ya Feisal Salum 'Fei Toto' na Khalid Aucho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’