Kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Kigoma kurejea jijini Dar es salaam kujiandaa na michezo inayofuata ya ligi kuu ya NBC
Jumatatu ijayo, Yanga itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupepetana na Tanzania Prisons
Jana Wananchi walifanikiwa kupata alama moja kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting, mchezo uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika
ADVERTISE HERE