Kaze alia na uwanja wa Lake Tanganyika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 May 2022
Kaze alia na uwanja wa Lake Tanganyika

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema pitch mbovu ya uwanja wa Lake Tanganyika mechangia wao kukosa ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting leo

Kaze amesema vijana wake pia walikosa bahati, majaribio mawili ya Fiston Mayele yakigonga mwamba

"Kila mchezo una mpango wake, leo tuliingia na mpango maalum wa kushambulia lakini baadae tukalazimika kubadilisha katika kipindi cha pili kutokana na uwanja kutokuwa rafiki"

"Pia naweza kusema tumekosa bahati kwani tumegongesha miamba kwenye kipindi cha kwanza na kukosa nafasi kadhaa kwenye kipindi cha pili. Tunarudi kujipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata"

"Bado tuko kwenye nafasi nzuri jambo la msingi kwetu ni kuhakikisha tunapambana kwenye mchezo ujao ili tuweze kurejesha morali yetu ya ushindi," alisema Kaze

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’