Rostand ameibeba Yanga leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jan 2018
Rostand ameibeba Yanga leo
Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Ihefu leo, Yanga ililazimika kufanya kazi ya ziada kushinda kupitia changamoto ya mikwaju ya penati 4-3.

Mlinda lango Youthe Rostand ndiye aliyekuwa shujaa kwani alifanikiwa kuokoa mikwaju mitatu ya Ihefu FC.

Aidha umahiri wake uliirudisha Yanga mchezoni baada ya Chirwa kukosa mkwaju wa penati, naye kuokoa mkwaju wa Ihefu.



Kama sio uhodari wake leo huenda sasa tungekuwa tunazungumza mengine kwani Yanga ingekuwa imeondoshwa kwenye michuano hiyo na kuungana na watani zao Simba waliokuwa wanasubiri kwa hamu jambo hilo litokee.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’