Morrison ajeruhi shabiki wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 May 2022
Morrison ajeruhi shabiki wa Yanga

Mchezaji wa Simba Bernard Morrison anashikiliwa kituo Cha Polisi Chan'gombe jijini Dar es salaam baada ya kumjeruhi shabiki wa Yanga na kitu chenye ncha Kali (bisibisi)

Tukio hilo lilitokea baada ya mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Simba uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Mashuhuda wa tukio hilo wamebainisha kuwa Morrison alichukua silaha hiyo kwenye gari na kuwakimbiza mashabiki wa Yanga waliokuwa wakishangilia na wengine kumzomea

Mkuu wa kituo Cha Polisi Temeke, Mohammed Simba amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lisilo la kiungwana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’