Mapema leo Bodi ya ligi iliweka hadharani majina ya waamuzi ambao watachezesha mchezo wa watani na jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, April 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mwamuzi wa kati ni Ramadhan Kayoko kutoka jijini Dar es salaam ambaye atasaidiwa na waamuzi wasaidizi Frank Komba (DSM) na Mohammed Mkono (Tanga)
Mwamuzi wa akiba ni Elly Sasii kutoka jijini Dar es salaam wakati Kamishina wa mchezo ni Isaack Munisi kutoka mkoani Kilimanjaro

ADVERTISE HERE