Tunawakaribisha lakini wajue ligi tayari ina mfalme wake - Bumbuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Apr 2022
Tunawakaribisha lakini wajue ligi tayari ina mfalme wake - Bumbuli

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewakaribisha Simba kwenye mikiki mikiki ya Ligi Kuu lakini akiwatahadharisha kuwa ligi tayari ina mfalme wake ambaye ni Yanga

Aidha kuelekea mchezo wa Jumamosi utakaowakutanisha watani wa jadi Yanga na Simba, Bumbuli amesema wao wamejipanga na wako tayari kwa mchezo huo unaoweza kuwaweka katika nafasi nzuri zaidi ya kutwaa ubingwa

"Tunawakaribisha kwenye shoo za NBC Premier League, lakini zaidi tunawakaribisha kwenye mchezo wa dabi Jumamosi. Waje wakifahamu huku kuna wafalme wake"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’