Hakuna namna,Sisi tuna watu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Apr 2022
Hakuna namna,Sisi tuna watu

Wananchiiiii, ni siku tatu zimebaki kuelekea mchezo wa dabi dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, April 30 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Kama bado hujaiweka tiketi mikononi mwako basi una siku ya leo Jumatano, Alhamisi na Ijumaa kuhakikisha hilo kwani tiketi hazitauzwa siku ya mchezo

Dabi hii ya Jumamosi ina maana kubwa sana kwa Yanga, ushindi utawasogeza Wananchi karibu na ubingwa wao wa 28 kwani tofauti ya pointi dhidi ya Simba zitakuwa 16, hapa watahitaji muujiza 'kupindua meza'

Bahati mbaya kwao, Jumamosi wanakutana na Yanga ambao iko timamu kiakili na kimwili, Yanga ambayo imedhihirisha kwa vitendo kuutaka ubingwa wa msimu huu

Nafikiri ni kipindi kizuri sana kucheza nao kuwaongezea maumivu baada ya kile kilichowakuta kule kwa 'Madiba'

Ama kwa hakika hakuna namna, hawawezi kutoka salama kwani SISI TUNA WATU

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’