Msemaji wa Yanga Haji Manara mapema leo kwenye Mkutano na Wanahabari, pamoja na mambo mengine alitangaza viingilio vya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi April 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B ni Tsh 20,000/- na VIP C ni Tsh 15,000/-, majukwaa ya Orange ni Tsh 10,000/- wakati mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Manara amesema watafanya promotion kubwa kuhakikisha mashabiki wa Yanga wanajitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kuipa sapoti timu yao katika mchezo huo ambao wanahitaji kushinda
ADVERTISE HERE