Mashabiki wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa leo kuishangilia timu yao kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kuanzia saa moja usiku
Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga kupata ushindi ili kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa msimu huu
Wanasema mechi kubwa inahitaji mashabiki uwanjani, huu ni mchezo mkubwa kwani leo Yanga imedhamiria kudhihirisha ukubwa wake mbele ya Namungo Fc


ADVERTISE HERE