Droo ya makundi ya kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya Afcon 2023 imefanyika ambapo Tanzania imeangukia kundi F ikipangwa na timu za Algeria, Uganda na Niger
Timu mbili zitakazomaliza katika nafasi mbili za juu baada ya mechi sita za makundi, zitafuzu kwa fainali za michuano hiyo
Baada ya kushiriki fainali za Afcon 2019, Tanzania inawania nafasi nyingine ya kushiriki michuano hiyo mara ya tatu mechi za makundi zikitarajiwa kupigwa kuanzia mwezi Juni 2022

ADVERTISE HERE