Fei Toto anautamani mchezo dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Apr 2022
Fei Toto anautamani mchezo dhidi ya Simba

Kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto', amesema kwa sasa afya yake inaendelea vizuri na atakuwa tayari kushiriki mchezo wa Aprili 30, mwaka huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya watani zao, Simba

Feisal amekuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki tatu akiuguza majeraha ya mguu, amesema kila kitu kinaenda vizuri na mbali ya kuendelea na tiba, lakini ameshaanza mazoezi mepesi

"Namshukuru Mungu afya yangu inaendelea kuimarika, yale maumivu niliyokuwa nikiyasikia hivi sasa yamepotea na tayari nimeanza mazoezi mepesi, naamini hadi kufikia siku ya mchezo wetu na Simba nitakuwa tayari," amesema Feisal.

Kiungo huyo amesema binafsi ameupania mchezo huo, kwa sababu anaamini ndio umeshikilia hatma yao ya ubingwa, hivyo anataka kuwa sehemu ya mchezo ili kuingia kwenye kumbukumbu ya klabu hiyo.

Amesema anafurahishwa na mwenendo wa timu yake katika mechi kadhaa walizocheza hivi karibuni, ambazo walishinda.
Feisal amesema hiyo imeonesha namna walivyodhamiria kulisaka taji hilo msimu huu, baada ya kumaliza misimu minne bila ubingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’