Bodi ya ligi imefanya mabadiliko ya ratiba ambapo mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Namungo Fc utapigwa April 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa saa 1 usiku
Ratiba ya awali ilikuwa ikionyesha Yanga isingecheza mchezo wowote hadi April 30 ambapo wangecheza na Simba

ADVERTISE HERE