Dozi yao inaanza kuandaliwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2022
Dozi yao inaanza kuandaliwa leo

Baada ya mapumziko ya siku mbili, kikosi cha Yanga leo kinarejea mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba

Mchezo huo utapigwa April 30 kunako dimba la Benjamin Mkapa, saa 11 jioni

Yanga inahitaji kushinda mchezo huu ili kusafisha njia kuelekea ubingwa wa ligi kuu msimu huu

Wananchi watakuwa na karibu wiki tatu kujiandaa na mchezo huo kwani hawatakuwa na mchezo mwingine wa ligi hadi April 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’