Yanga imethibitisha kuwa mchezo wa robo fainali kombe la FA (ASFC) dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa Jumapili, April 10 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, utaanza saa moja usiku
Kulikuwa na sintofahamu kuhusu muda huo hasa ikizingatiwa huiki ni kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
Mchezo uliopita wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ulipigwa kuanzia saa 2:15 usiku, ilidhaniwa kuwa mchezo wa FA nao utapigwa katika muda huo
ADVERTISE HERE