Kituo kinachofuata ni Geita Gold, robo fainali FA Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Apr 2022
Kituo kinachofuata ni Geita Gold, robo fainali FA Cup

Baada ya ushindi muhimu kule uwanja wa Azam Complex dhidi ya Azam Fc juzi, kikosi cha Yanga kimerejea kambini kujiandaa na mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Geita Gold

Yanga ina siku mbili za kukamilisha maandalizi ya mchezo huo ambao utapigwa keshokutwa Jumapili, April 10 katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja usiku

Ni mechi nyingine ngumu kwa Wananchi lakini kinachohitajika ni ushindi ili kutinga nusu fainali

Msimu huu Yanga imejiwekea malengo ya kushinda mataji yote ya ndani

Walianza na Ngao ya Jamii, kwenye ligi wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 51 ambazo ni alama 11 zaidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili na sasa wanahitaji kushinda dhidi ya Geita Gold ili watinge nusu fainali kombe la FA

Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga Injinia Hersi Said amesema mkakati wao katika kila mchezo uko vilevile, USHINDI

Amesema mechi zote wanazipa uzito uleule lengo likiwa kutimiza mipango waliyojiwekea msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’