Baada ya kuwatumika wauza Ice Cream Azam Fc kwa zaidi ya miaka 10, kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' anarejea uwanja wa Azam Complex lakini wakati huu akiwa na Yanga
Habari njema zaidi ni kuwa Sure Boy anarejea Azam Complex akiwa katika kiwango bora sana
Hii ni silaha muhimu sana kwa Yanga leo katika mchezo ambao wanahitaji kushinda
Sure Boy anawafahamu vyema Azam Fc kama timu na hata mchezaji mmoja mmoja
Kwa hakika leo itashuhudiwa burudani ya aina yake pale uwanja wa Azam Complex
ADVERTISE HERE