Yanga imecheza robo fainali ligi ya mabingwa, Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Apr 2022
Yanga imecheza robo fainali ligi ya mabingwa, Shirikisho

Mwaka 1998 Yanga ilicheza nane bora ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika michuano ambayo ilihusisha makundi mawili tu

Timu mbili kutoka kila kundi zilitinga moja kwa moja nusu fainali na baadae bingwa kupatikana kama utaratibu ulivyo sasa

Mwaka 2016 Yanga ikacheza nane bora ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika utaratibu ukifanana na ule wa ligi ya mabingwa miaka ya nyuma

Kuanzia mwaka 2017 CAF iifanya mabadiliko ya michuano yake ambapo hatua ya makundi ilishirikisha timu 16 badala ya timu nane za zamani

Tangu wakati huo timu mbili kutoka kila kundi zilitinga nane bora (sasa robo fainali) na utaratibu wa kupatikana bingwa kuendelea kama zamani

Ukweli ni kwamba Yanga ilikuwa timu ya kwanza kucheza nane bora (sasa robo fainali) ya michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho kutoka Tanzania

Tofauti ni kuwa wakati huo utaratibu uliokuwa tofauti na sasa. Mechi za mtoano zilikuwa nyingi kulinganisha na ilivyo sasa

Ilikuwa sio jambo jepesi kutinga makundi, kwani hatua hiyo ndiyo robo fainali ya sasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’