Saido aiwahi Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Apr 2022
Saido aiwahi Azam Fc

Habari njema kwa Yanga ni kurejea kikosini kwa kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Azam Fc

Mchezo huo utapigwa Jumatano April 06 katika uwanja wa Azam Complex

Saido amekuwa nje ya dimba kwa wiki kadhaa akisumbuliwa na majeruhi

Wakati akiendelea kuimarika, Yanga ikamruhusu kufunga ndoa huko Burundi

Sasa yuko timamu kiafya, akiwa pia amemaliza 'fungate', yuko tayari kuendeleza pale alipoishia kabla ya kupata majeraha

Saido ndiye kinara wa pasi za mabao kwenye kikosi cha Yanga akitoa pasi tano za mabao huku akifunga mabao sita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’