Wananchi wamepania kwelikweli mchezo dhidi ya Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
โ€ข
3 Apr 2022
Wananchi wamepania kwelikweli mchezo dhidi ya Azam Fc

Unaambiwa Yanga imepania kwelikweli kupata ushindi dhidi ya Azam Fc katika mchezo utakaozikutanisha timu hizo ambapo utapigwa Jumatano, April 06 kwenye uwanja wa Azam Complex

Ni hivi; Yanga inaweza kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa msimu huu kama itashinda mchezo huo na mchezo utakaofuata dhidi ya Simba ambao utapigwa April 30

Huu ni mchezo ambao wachezaji wanautaka kwelikweli hasa kutokana na mazingira yaliyopo

Wachezaji wana dhamira ya kutwaa ubingwa lakini piaย kucheza michezo 18 pasipo kupoteza, imewatengenezea maaduni wengi ambao wanasubiri wafungwe ili wapate la kuzungumza

Yanga ilirejea kambini juzi Ijumaa chini ya kocha mkuu Nasreddine Nabi kuiandaa dozi ya Azam Fc

Ni mwendo wa mazoezi makali huko Avic Town, hao Azam Fc wajiandae kisaikolojia kwani hawatatoka salama hapo kwenye uwanja wao wa Azam Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
59m ago
READ MORE โ†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE โ†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE โ†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE โ†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE โ†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE โ†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE โ†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE โ†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE โ†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE โ†’