Yacouba kuanza mazoezi April

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Mar 2022
Yacouba kuanza mazoezi April

Mtaalamu wa viungo Yanga, Youssef Amar amesema mshambuliaji Yacouba Songne anatarajiwa kuanza mazoezi April mosi baada ya afya yake kuimarika

Yacouba yuko nje ya uwanja tangu mwezi Novemba 2021 baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa goti nchini Tunisia

Kulikuwa na wasiwasi kuwa jeraha hilo lingeweza kumuweka nje msimu huu wote lakini sasa upo uwezekano Wananchi watamshuhudia Yacouba akirejea uwanjani kabla ya msimu kumalizika

"Yacouba kwa sasa anaendelea vizuri, tunasubiri mpaka Aprili 1 ndio aanze rasmi mazoezi ya ufiti ambayo ni pamoja na gym"

"Akimaliza program hiyo ataanza mazoezi na wenzake kwa ajili ya kujiandaa kucheza mechi za ushindani ambazo zitakuwa zimesalia msimu huu, tuna imani ataanza kupatikana mapema sana kwa kuwa maendeleo yake ni mazuri," alisema Youssef

Youssef amethibitisha kuwa winga Jesus Moloko nae amepona na tayari ameanza program maalum ya mazoezi itakayomuweka sawa kabla ya kujiunga na mazoezi ya timu

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’