Diarra anaamini 'watatoboa' ugenini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2022
Diarra anaamini 'watatoboa' ugenini

Mali ilianza vibaya harakati za kuwania tiketi ya fainali za michuano ya kombe la Dunia baada kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Tunisia katika mchezo wa kwanza wa play-off uliopigwa Mali

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra yuko katika kikosi cha Mali ambacho kinalazimika kwenda kupata ushindi katika mchezo wa marudiano siku ya Jumanne huko Tunisia

Diarra amesema pamoja na kufungwa mchezo wa kwanza, bado hawajashindwa vita, wanakwenda kuipigania nchi yao huko Tunisia

"Tuliwapa majonzi mashabiki wetu baada ya kupoteza mchezo wa kwanza nyumbani, lakini hatuajakata tamaa, tunakwenda kuipigania nchi yetu huko Tunisia, Mwenye ez Mungu atatusaidia Inshallah," alisema Diarra

Diarra alikuwa sehemu ya kikosi cha Mali kilichoshiriki michuano ya kombe la Dunia (Vijana) mwaka 2015

Timu hiyo inasaka tiketi ya kushiriki michuano hiyo kwa wakubwa kwa mara ya kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’