Nabi aenda mapumziko Ubelgiji, kurejea Jumatano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Mar 2022
Nabi aenda mapumziko Ubelgiji, kurejea Jumatano

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi chini ya Kocha Msaidizi Cedric Kaze baada ya kocha mkuu Nasreddine Nabi kurejea Ubelgiji kwa ajili ya mapumziko

Yanga ilirejea kambini Jumatano iliyopita kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa April 06 katika uwanja wa Azam Complex

Kabla ya mchezo huo, Yanga itacheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya Mafunzo Fc kutoka visiwani Zanzibar, mchezo ukipigwa Azam Complex

Profesa Nabi anatarajiwa kurejea nchini baada ya kumalizika kwa mapumziko ya kalenda ya FIFA, Machi 30 kukamilisha maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc

Yanga inajifua huku ikiwakosa wachezaji 12 ambapo nane wanakabiliwa na majukumu ya timu za Taifa, Saido Ntibazonkiza na Abdallah Shaibu wana ruhusa maalum wakati Jesus Moloko na Yacouba Songne ni majeruhi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’