Nitazidi kupambana kupigania nafasi ya kucheza - Kaseke

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Mar 2022
Nitazidi kupambana kupigania nafasi ya kucheza - Kaseke

Kiungo mwandamizi katika kikosi cha Yanga Deus Kaseke amesema ataendelea kupambana kuhakikisha anapata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kocha Nasreddine Nabi

Msimu huu umekuwa mgumu kwa Kaseke ambaye msimu uliopita alikuwa miongoni mwa wachezaji walion'gara katika kikosi cha Yanga

Kaseke ambaye alijiunga na Yanga msimu wa 2014/15 akitokea klabu ya Mbeya City, amesema anatambua maboresho yaliyofanywa yameongeza ushindani, lakini hilo haliwezi kumkatisha tamaa atazidi kupambana kupigania nafasi yake uwanjani.

"Kocha ndio mwenye kujua mchango na uwezo wa kila mchezaji, na ukizingatia timu ina wachezaji wengi hatuwezi kucheza wote lazima tupishane," alisema Kaseke

Kaseke ndio mchezaji pekee aliyebakia kwenye kikosi cha Yanga kilichobeba ubingwa wa mwisho wa ligi kuu ya Tanzania bara msimu wa 2016/17

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’