Leo Jumatano, Tanzania itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Afrika ya Kati katika mchezo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku
Tanzania inatarajiwa kucheza mchezo mwingine Jumamosi, Machi 26 dhidi ya Botswana kisha kukamilisha mchezo wa mwisho dhidi ya Sudan Jumanne ijayo, Machi 29

ADVERTISE HERE