Sureboy amekosaje kuitwa Stars?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2022
Sureboy amekosaje kuitwa Stars?

Kiungo mahiri wa Yanga Salum Abubakar 'Sure Boy' sio miongoni mwa wachezaji 28 walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa ajili ya mechi za kirafiki wakati huu wa mapumziko ya kalenda ya FIFA

Tanzania itacheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Afrika ya Kati na Sudan

Sure Boy amekuwa katika kiwango bora sana tangu aliposajiliwa na Yanga mwezi Januari 2022 ukiwa ni usajili wa dirisha dogo akitokea klabu ya Azam Fc

Maswali yamekuwa mengi kwa nini fundi huyu wa mpira hajajumishwa katika kikosi cha Stars ambacho mwezi Juni kitaanza kampeni ya kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya Afcon 2023

Bila shaka kocha Kim Poulsen amesikia maoni ya wadau wengi waliotamani kumuona Sure Boy katika kikosi chake

Sure Boy ni mchezaji mwandamizi na mwenye uzoefu mkubwa na zaidi anafanya vizuri sana katika kikosi cha Yanga

Katika ligi kuu ya NBC, Sureboy anaweza kuwa kiungo anayefanya vizuri zaidi kwa sasa katika nafasi yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’