Wiki hii imekuwa nzuri kwa nyota wawili wa Yanga ambao wameamua kuachana kuoa kuachana na ukapera
Alianza Abdallah Shaibu 'Ninja' ambaye alifunga ndoa visiwani Zanzibar juzi
Jana ikawa zamu ya Saido Ntibazonkiza 'Anbiotic' nae akifunga ndoa nchini Burundi
Kwa mara nyingine, tunawatakia kila la kheri, Mwenye ez Mungu azibariki ndoa zao wote
ADVERTISE HERE