Kituo kinachofuata ni Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Mar 2022
Kituo kinachofuata ni Azam Fc

Baada ya ushindi mnono wa mabao 2-0 dhidi ya KMC hapo jana, wachezaji walioitwa timu za Taifa wanaondoka kwa ajili ya majukumu ya Kimataifa katika mechi zilizo kwenye kalenda ya FIFA huku Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi akitoa mapumziko ya siku chache kwa wengine kabla ya kuanza maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc

Yanga ina siku 17 za kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, April 06

Mchezo huo ni moja ya mechi muhimu za kuamua hatma ya ubingwa kwa Yanga msimu huu

Kabla ya mchezo dhidi ya KMC, Nabi alitaja michezo mitano ambayo kama Yanga itashinda basi wanaweza kuanza kufikiria ubingwa

Michezo hiyo ni dhidi ya KMC ambao Yanga imeshinda jana, mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc, kisha utafuata mchezo dhidi ya Simba April 30 kisha kufuatiwa na michezo dhidi ya Ruvu Shooting na Namungo Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’