Ruvu Shooting imejinasua kutoka mkiani mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom baada ya kuichapa Mbao Fc mabao 2-0 katika mchezo pekee uliopigwa leo.
Ushindi huo umeifanya Ruvu Shooting ipande hadi nafasi ya 11 baada ya kujikusanyia alama 14.

Mapame kabla ya mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Mabatini, Ruvu, mshambiuliaji wa Mbao FC Habibu Kiyombo alikabidhiwa tuzo yake ya uchezaji bora wa mwezi wa 12, 2017.
Kiyombo alikabidhiwa King'amuzi cha Azam TV pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni moja.

Ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 15 itaendelea kesho Jumamosi ambapo michezo minne itarindima kama inavyoonekana hapa chini;
1. Azam FC vs Yanga SC
2. Mwadui FC vs Njombe Mji
3. Mbeya City vs Mtibwa Sugar
4. Kagera Sugar vs Lipuli FC

ADVERTISE HERE