Leo Machi 17 2022, ni kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Tanzania impoteze Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dk John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17 2021
Viongozi, Benchi la Ufundi na Wachezaji wameungana na Watanzania wote katika kumbukumbu hii kwa kuwatembelea Wagonjwa katika Hospital ya Ocean Road jijini Dar es salaam




ADVERTISE HERE