Mshamuliaji wa Yanga Amissi Tambwe anaweza akaukosa mchezo dhidi ya Azam FC baada ya kutonesha jereha lake la goti lililomuweka nje kwa zaidi ya miezi mitano.
Katika mazoezi ya jana, Tambwe aliungana na Thabani Kamusoko kufanya mazoezi mepesi wakati wengine wakiendelea na program za kocha George Lwandamina.
Mchezaji mwingine atakayeukosa mchezo dhidi ya Azam FC kutokana na majeraha ni chiupukizi Yohana Nkomola aliyeumia wikiendi iliyopita kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting.
Yanga imeendelea kujifua kwenye uwanja wa Uhuru chini ya kocha Mkuu George Lwandamina na wasaidizi wake Shedrack Nsajigwa na Noel Mwandila

ADVERTISE HERE