Leo Jumatatu, March 14 2022, uongozi wa klabu ya Yanga utakuwa na Mkutano na Waandishi wa habari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam kuanzia saa tano na nusu asubuhi

ADVERTISE HERE