Baada ya mapumziko ya siku mbili, kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa Jumatano, Machi 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga imeanza kwa kufanya program maalum ya mazoezi ya viungo ili kuimarisha utimamu wa miili ya wachezaji









ADVERTISE HERE