Kiwango bora alichoonyesha katika mchezo dhidi ya Geita Gold, kimefanya mlinda lango Djigui Diarra afikishe 'cleansheet' tisa katika ligi kuu ya NBC
Diarra yuko sawa na mlinda lango wa Simba Aishi Manula ambaye pia ana cleansheet tisa
Kama sio michuano ya Afcon aliyokwenda kushiriki Cameroon akiwa na timu ya Ttaifa ya Mali, pengine Diarra angekuwa akongoza kwa cleansheet
Mlinda lango namba mbili wa Yanga Aboutwalib Mshery yeye ana cleansheet nane akishika nafasi ya tatu
Mshery amepata cleansheet tatu akiwa na Yanga wakati cleansheet tano alizipata wakati akiwa na Mtibwa Sugar
Msimu huu Wananchi 'wametakata' katika kila takwimu

ADVERTISE HERE