Mazoezi ya leo asubuhi yamesimamiwa na kocha wa kikosi cha Yanga B Shedrack Nsajigwa na Mzambia Noel Mwandila wakishirikiana na kocha Mkuu George Lwandamina.
Huenda Nsajigwa akarithi mikoba ya Mwambusi moja kwa moja na Yanga ikasaka kocha mwingine wa kikosi B.
Mwambusi ameondoka Yanga baada ya mkataba wake kumalizika na huenda akaungana na Hans van Pluijm kocha aliyepata nae mafanikio hapa Jangwani.

ADVERTISE HERE