Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba hapo jana, Yanga imeondoka Mwanza kurejea Dar es salaam
Wananchi wanarudi Dar kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya KMC ambao utapigwa March 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa




ADVERTISE HERE